JINSI NILIVYOFAULU
READ MORE 1. Jiwekee lengo moja kubwa ambalo utalifanyia kazi kila siku. 2. Kila siku kazana kuwa bora zaidi ya jana, shindana na wewe mwenyewe na siyo mtu mwingine. 3. Kwenye kila kipato unachoingiza, tenga asilimia 10 na weka pembeni kabla hujaanza kutumia. 4. Asilimia 10 unayoiweka pembeni, iwekeze sehemu ambayo inazalisha zaidi. 5. Punguza sana au acha kabisa kutumia mitandao ya kijamii kama haikuingizii kipato. 6. Usianze siku yako kwa kufuatilia habari. 7. Amka mapema zaidi ya ulivyozoea, angalau saa moja na tumia muda huo kusali/kutahajudi, kujisomea na kufanya mazoezi. 8. Pangilia siku yako kabla hujaianza, tafakari siku yako kabla hujaimaliza. 9. Weka muda kwenye kujenga mahusiano yako, hasa ya wale wa karibu. 10. Weka juhudi zaidi kwe...