CHANGE MTANDAONI

 

1. Someone ana-post something then watu wanakimia,later mwingine aki-post watu wana-coment.this show kuna chuki au upendeleo, inafaa kukoma.

2. When someone anasalimu pale kwenye grupu, “good morning” nobody answers, especially kama sii rafiki w karibu.... discrimination tuache.

3. A member anaposti kwa kuwadharau others. That's not the way to go.

4. Wengine ni wapumbavu tuu, They are in the group lakini they don't contribute and when they do, wanatata wote wakubaliane na maoni yao..

5. Some people hawatawahi ku-comment kwa chochote unless the post is funny ama ya kuwachekesha.

6. Wengine hawajui jinsiya  ku-comment on issues .wako pale kutoa makosa ya little issues.Na iwapo unakosolewa kosoleka.

 7. Baadhi ya mabeshte they will chat DM kabla ya kuja kuzungumza kwa group,Just be real and be yourself.

8.Some people will not attend to mazungumzo pale group until marafiki zao wawe online.

9. You will find wengine wamejiona without them group haliwezi kuwa, my friend wacha kujigamba and cool down.  

10.Kuwapongeza akina dada  pale grupu will keep it alive. Intimidating them ni uhakika wa kuangusha group. Avoid it. Appreciate them.

11.Ikiwa group iko kimya for long, kuna chances its heading palipo hatari na huenda ikaanguka, keep it active.

 READ ON WHATSAPP

                                          MESSAGE  

As a member of either whatsapp group ama any online platform, try to act as newtral as possible.Ensure you post sense. 


Comments

Popular posts from this blog

EVERYBODY AKAE KWAKE

DEAR FUTURE WIFE

JINSI NILIVYOFAULU