RESPECT YOURSELF
Respect ni among vitu vya msingi ndani ya maisha ya mtu personal. Tukikosa kujiheshimu tunaanza ku-struggle ndani ya nafsi zetu huku tuki-try kuwa kama mtu fulani. The only thing that unatakiwa kujua, kujiheshimu ni kuwa na courage ya kutunza na ku-grow confidence in you.Haijalishi umekutana na jambo gani kwa maisha ya kila siku. Inafaa uzingatie the following....
1. Be on your own, jisimamie from mind yako
2. Jifunze ku-deal na opposition kwa life yako3. Angalia your appearance bila kujiingiza kwa ku-copy ma-design za watu4. Avoid wivu na vitina
5. Kumbuka your goals na wala si your results
6. Respect watu wote since wee pia unahitaji heshima
7. Usijichukie even a single day
8. Learn to forgive na usahau
9. Usi-depend kwa sifa za watu
MESSAGE NI⇓⇓
Try ku-think kama ulizaliwa kumfurahisha your neighbour ama beshte? Unatakiwa kuishi maisha yako as you sio kuiga kwa mtu mwingine.

Comments