INAUMA BUT ITABIDI UZOEE


INAUMA BUT ITABIDI UZOEE

Sometime ukiangalia Watsapp ama facebook unaona yuko online busy akichat na ku-change DP na status kibao.Unabaki ukijiuliza anachat na nani mpaka asione txts zako na kuzijibu?Unabaki ukijiuliza shida ni gani?

Umemtumia text lakini hajakujibu, text imekua delivered lakini hajali kukujibu. Unaamua ku-switch simu na kucheza game, later unarudi bado unaona kimya hajakujibu.

Unaanza kujiambia kuwa maybe amekuchoka. Inauma sana kupuuzwa na mtu umpendae but itabidi uzoee.

Je unajua kuna uwezekano nae anapitia situation kaa hiyo? Sawa anaweza akakwambia anakupenda au amekumiss, lakini anae mtu ambae anampenda more than wewe.

Unavyohangaika kumpigia, kumtumia sms na asizijibu nae anaweza kuwa anafanyiwa hivyo na sweetheart wake.

Unamtex, unamcall lakini nae simu zake hazipokelewi kama wewe. Nao wanapitia magumu kama wewe!so isikuletee problem.

At this point unafikiri ku-loose hope juu ya huyo mtu lakini inakuwa sio rahisi. Unafikiri kumuacha huyo mtu, kumblock hata kum "unfriend" fb lakini bado unaona aii! bado unampenda. Na unamatumaini ipo siku atarudi kuwa normal.

Kila time unachkua phone yako unaomba Mungu ukute text yake lakini ukishika tu simu unakuta ya safaricom wakikukumbusha kulipa okoa jahazi.

Unajikuta unaichukia simu yako na unamchukia kila mtu anaye kuongelesha,unakuza hasira hata kwa vyombo vya nyumba.

Lakini kwanini ifikie hatua hiyo? Kwa hali kama hiyo inaonesha kabisa wewe hupendwi kabisa. Kwanini upoteze muda wako kumpenda mtu asiyekupenda?

Usimlazimishe akupende, watu wanaotaka kupendwa ni wengi. Usijipe stress kwa asiyekupenda kuwa na hopes ya kupata new things na wenye maringo waendelee kuringa. TAKATAKAiiiii.



Comments

Popular posts from this blog

EVERYBODY AKAE KWAKE

DEAR FUTURE WIFE

JINSI NILIVYOFAULU