PESA INAVYOPOTEA NYUMBANI

 
Mara nyingi huchukua muda kabla ya kutambua kwamba vitu havipo kwenye nyumba. Wengi wetu huamini  huenda vimeibiwa ilhali vipo paliposahaulika.

Improvement in swahili
 
Unahitaji kuwa na ulinzi wako wakati:
  1. Unaonekana kununua chakula zaidi na mboga kila wiki kuliko kabla. 
  2. Wewe  ku-misplace nguo, vito vya thamani kisha unaonekana kuvitafuta zaidi.
  3. Kuvitafuta vitu ambavyo umevipoteza na vilikua vya thamana,huchangia zaidi kutovipata
  4. Unapodhania kuwa pahali pako unakoweka nguo zako pameguzwa na kupanguliwa
  5. Toiletries zako, sabuni, mafuta, marashi nk kukosa.
  6. Wageni huripoti pesa au mali zao kupotea kwenye nyumba.
  7. Msichana wa nyumba anatumia simu yake ya mkononi daima wakati wa kazi. Kupokea simu na chatting kwa wingi pia ni ishara ya onyo.
 For the start huanza na mambo madogo tu kuona ikiwa unatambua au la na kisha anachukua vitu vikubwa na vya gharama kubwa.Inafaa uwe chonjo kila mara.

Comments

Popular posts from this blog

EVERYBODY AKAE KWAKE

DEAR FUTURE WIFE

JINSI NILIVYOFAULU