Posts

Showing posts from June, 2020

JINSI NILIVYOFAULU

READ MORE 1.     Jiwekee lengo moja kubwa ambalo utalifanyia kazi kila siku. 2.       Kila siku kazana kuwa bora zaidi ya jana, shindana na wewe mwenyewe na siyo mtu mwingine. 3.     Kwenye kila kipato unachoingiza, tenga asilimia 10 na weka pembeni kabla hujaanza kutumia. 4.       Asilimia 10 unayoiweka pembeni, iwekeze sehemu ambayo inazalisha zaidi. 5.       Punguza sana au acha kabisa kutumia mitandao ya kijamii kama haikuingizii kipato. 6.     Usianze siku yako kwa kufuatilia habari. 7.       Amka mapema zaidi ya ulivyozoea, angalau saa moja na tumia muda huo kusali/kutahajudi, kujisomea na kufanya mazoezi. 8.       Pangilia siku yako kabla hujaianza, tafakari siku yako kabla hujaimaliza. 9.       Weka muda kwenye kujenga mahusiano yako, hasa ya wale wa karibu. 10.     Weka juhudi zaidi kwe...

DEAR FUTURE WIFE

Image
THANKS TO Kwako Mke wangu Mtarajiwa kabla ya kuja kufunga NDOA NAWE.,,POKEA HAYA MAMBO YA MSINGI. Niliposema ujumbe ukuffikie popote ulipo bila shaka ujumbe ulifika na sasa unatafakari ni namna gani ya kuwa mke bora. Naam Vizur bada ya yale kuna haya hapa... 1. Nitakuangalia machoni mara kwa mara na kukuhakishia mapenzi niliyonayo juu yako. 2. Nitaendelea Kukupenda na kukujali kwa kila hali na kukuhakikishia unalo bega langu la kuinamia. 3. Nitapitiliza migahawa yote mizuri, sitaingia kununua chakula hata kama nina njaa ili tu, nile chakula chako ulichoniandalia nyumbani. 4. Nitaingia kuoga na wewe atleast kila kutakapokuwa na nafasi, jiandae kwa hilo na naomba usiniulize ni nini kitakachokua kikitokea humo bafuni. 5. Nitakufanyia massage kipindi ukiwa mjamzito whether you need a massage or not. 6. Nitajitahidi kuendelea kuwa muaminifu licha ya vikwazo na vishawishi vingi vilivyopo mbele yangu! 7. Nitaku-suprise kwa kukukumbatia wakati ukiwa jikoni unaosha vyombo! 8. Nitaingia jikoni k...

MY SOFTWARE WEDDING

Image
                                           WATCH VIDEO  I had my fairytale wedding (software wedding) It was picturesque, filled with love, and ran smoothly. That magical day I had ever imagined. But like most things in life, there were aspects I wish I had done differently in terms of the planning and how the actual wedding day was carried out. According to them nothing took place.     Learning from my own marriage experience and in reading about wedding etiquette since the start, I've discovered there were a few things I didn't do that I wish not to do, from people expectations. Most weren't a huge deal, but some things could've made those closest to me feel more loved during such a special time of life.   The things I would've done normally according to the public. Planning a big ceremony to be attended by thousands of people, enable a buffet for the crowd...

PESA INAVYOPOTEA NYUMBANI

Image
  Mara nyingi huchukua muda kabla ya kutambua kwamba vitu havipo kwenye nyumba. Wengi wetu huamini  huenda vimeibiwa ilhali vipo paliposahaulika. Improvement in swahili   Unahitaji kuwa na ulinzi wako wakati: Unaonekana kununua chakula zaidi na mboga kila wiki kuliko kabla.  Wewe  ku-misplace nguo, vito vya thamani kisha unaonekana kuvitafuta zaidi. Kuvitafuta vitu ambavyo umevipoteza na vilikua vya thamana,huchangia zaidi kutovipata Unapodhania kuwa pahali pako unakoweka nguo zako pameguzwa na kupanguliwa Toiletries zako, sabuni, mafuta, marashi nk kukosa. Wageni huripoti pesa au mali zao kupotea kwenye nyumba. Msichana wa nyumba anatumia simu yake ya mkononi daima wakati wa kazi. Kupokea simu na chatting kwa wingi pia ni ishara ya onyo.  For the start huanza na mambo madogo tu kuona ikiwa unatambua au la na kisha anachukua vitu vikubwa na vya gharama kubwa.Inafaa uwe chonjo kila mara.

CHANGE MTANDAONI

Image
  1. Someone ana-post something then watu wanakimia,later mwingine aki-post watu wana-coment.this show kuna chuki au upendeleo, inafaa kukoma. 2. When someone anasalimu pale kwenye grupu, “good morning” nobody answers, especially kama sii rafiki w karibu.... discrimination tuache. 3. A member anaposti kwa kuwadharau others. That's not the way to go. 4. Wengine ni wapumbavu tuu, They are in the group lakini they don't contribute and when they do, wanatata wote wakubaliane na maoni yao.. 5. Some people hawatawahi ku-comment kwa chochote unless the post is funny ama ya kuwachekesha. 6. Wengine hawajui jinsiya   ku-comment on issues .wako pale kutoa makosa ya little issues.Na iwapo unakosolewa kosoleka.   7. Baadhi ya mabeshte they will chat DM kabla ya kuja kuzungumza kwa group,Just be real and be yourself. 8.Some people will not attend to mazungumzo pale group until marafiki zao wawe online. 9. You will find wengine wamejiona without them group haliwezi kuwa, my friend wach...

RESPECT YOURSELF

Image
Respect ni among vitu vya msingi ndani ya maisha ya mtu personal. Tukikosa kujiheshimu tunaanza ku-struggle ndani ya nafsi zetu huku tuki-try kuwa kama mtu fulani. The only thing that unatakiwa kujua,   kujiheshimu ni kuwa na courage ya kutunza na ku-grow confidence in you. Haijalishi umekutana na jambo gani kwa maisha ya kila siku.                                                               Inafaa uzingatie the following.... 1.   Be on your own, jisimamie from mind yako      2.   Jifunze ku-deal na opposition kwa life yako        3.   Angalia your                 appearance bila kujiingiza kwa ku-copy ma-design za watu 4.   Avoid wivu na vitina 5.   Kumbuka your goals  na wala si your results 6.   R espe...

VIJANA TUACHE MIHADARATI

Image
Youths wengi humu nchini wame-loose mwelekeo kwa kujihusisha na  evil deeds like matumizi ya dawa za kulevya. Mazingara ambayo we grow in   ndiyo yanafanya ndo ina-promote haya yote. Mostly Ukitembea katika mitaa yetu utapata  smokers wa sigara na bangi ni wengi sana,walevi pia and most of them ni vijana.  Parents wanafaa kuwa role models to their youths, but sio kukimia.  Kama ni ulevi, wasifanye open bali wawe mstari wa mbele kukashifu  hilo in adition to matumizi ya dawa za kulevya.  Vijana pia hu-follow tamaduni na itikadi za wazungu.  Aidha, youths are supposed to be waangalifu wanapotumia internet. MESSAGE NI ⬇⬇⬇ Mihadarati waste of time. zitaharibu your memory na zikupotezee heshima bure and everything that goes along with your self esteem. please TUACHE DRUGS.

EVERYBODY AKAE KWAKE

Image
Most of the time unaposikia hodi, first thing unajua ni yule neighbour omba omba ambaye husumbua kila mara. Time unachungulia kwa tundu la mlango, EXACT!   Niyeye. Hiyo situation isikupe wasiwasi, ni easy ku-deal na watu type hiyo. Day one akikuja kuomba kama kawaida,, “Herode naomba uniazime vijiko viwili vya chumvi” please usimnyime mpe vitatu. Siku ya pili akirudi againkuomba chumvi, fungua mlango  then  mpe kilo ya chumvi akuondokee, don’t allow akuzungumzie mob yasiyokujenga. Hapo ni hakika hatarudi tena kuomba alivyozoea. Another day kwa bahati mbaya uzoefu ule wa kuomba haujamtoka. Kimdandanye arudi kuomba tena. Open the door wazi kabisa halafu um-show nimesikia like punda amefika kwangu kumbe wewe(ukiashiria kuudhika) mpe bundle zima mwambie feel supermarket. Aky shetani ni mbaya, the same same jirani amerudi kwa vishindo Siku nyingine. “Herode please, nisave na chumvi, ile ulinipa iliisha jana.” fungua door msikilize bila kumkatiza, mwambie polit...

USI-EXPECT MORE KWA R-SHIP

Image
Time unajipata kwa marriage, usiwe na exoectations kubwa kubwa na aiming kuishi life ya usonko. one thing inafaa ujue ni kuwa uhusiano ni ordinary thing ilianza na Adamu na Hawa,your great parents pia walipitia. Being with someone inafaa uwe na lengo la kuwa nae kama team moja kusaidiana katika kuleta development in your family.   One thing imefanya  most people wako kwa relation but hawana furaha, ni pale anapotishwa maybe usipofanya hiki eg. kukusaidia, basi uhusiano  utaharibika.Let me tell you, hizo vitisho usi-entertainNyinyi wote inafaa mjitolee as one kujenga familia,not ku-depend kwa one another percent 100. At first uli-agree kuishi na your patner but sahii unaleta kichwa? WHAT A DEVIL ARE YOU? if ungejua poa you dont fit kukaa na mtu,next ni nini. KAA NA MAMA YAKO NA USIRUDI HAPA.

NEVER HANGAIKA with SOMEONE

Image
Watu wote God alitupatia roho au nafsi that communicate nasi, but sometime tuna-ignore ile sauti ya nafsi ikitu-caution about either kitu poa ama mbaya. Relationship ikianza kuna baadhi ya mambo unaweza kuona kwa your lover ambayo unahisi like soon itakuletea problem. And that time nafsi inakuambia kabisa,,,,,,,,,,           " Huyu mtu nakaa nae ni shida tupu I cant vumilia, please wee left kwa amani  usije ukaumia au problem iongezeke " At that point kichwa inakugonga unashindwa hata kubonga, hutaki kuelewa halafu unasema nita-try kum-change to normal. Let me tell you,kwa dunia ya sasa ku-change mtu zii!   ni kazi sana yaani untill yeye mwenyewe aamue kubadilika na kuwa straight. Message ni↓ 😀😀😀😂🤣😒    BELIEVE IN YOU, USIPOTEZE TIME KWA MTU AMBAYE IMEONEKANA WAZI KABISA SIO TYPE YAKO PLEASE. FOR NOW WE DON’T LALAMIKA ABOUT THE MAGUMU TUNAPITIA KWA RELATIONSHIP, ENJOYING OUR TIME NA FAMILIA ...

MESSAGE YANGU

Image
MESSAGE YANGU In life mambo huweza ku-change kama bendera anytime hufuata upepo. So usiwahi mdharau au kumdhalilisha anybody kwa sababu ya situation ako. Maana kila mtu ako na strength aliyopangiwa na Mungu, Lakini remember hakuna ajuaye kesho yake. Sometime mtu unayemdharau leo ndiye huyohuyo ambaye kesho utasimulia succes yake. Kwako unayesoma ujumbe huu nakuombea Mungu akakufungulie milango ya baraka na ku-value maisha yako ili pale unapoimarika ushangiliwe na those waliokudharau punde wakapate kukupigia magoti kwa uwezo wa Mungu.  If you believe God anaweza kubadili maisha yako kwanini umdharau mwenzako? please kuwa mtu wa kutamka neno la baraka kwa wengine.

INAUMA BUT ITABIDI UZOEE

Image
INAUMA BUT ITABIDI UZOEE Sometime ukiangalia Watsapp ama facebook unaona yuko online busy akichat na ku-change DP na status kibao.Unabaki ukijiuliza anachat na nani mpaka asione txts zako na kuzijibu?Unabaki ukijiuliza shida ni gani? Umemtumia text lakini hajakujibu, text imekua delivered lakini hajali kukujibu. Unaamua ku-switch simu na kucheza game, later unarudi bado unaona kimya hajakujibu. Unaanza kujiambia kuwa maybe amekuchoka. Inauma sana kupuuzwa na mtu umpendae but itabidi uzoee. Je unajua kuna uwezekano nae anapitia situation kaa hiyo? Sawa anaweza akakwambia anakupenda au amekumiss, lakini anae mtu ambae anampenda more than wewe. Unavyohangaika kumpigia, kumtumia sms na asizijibu nae anaweza kuwa anafanyiwa hivyo na sweetheart wake. Unamtex, unamcall lakini nae simu zake hazipokelewi kama wewe. Nao wanapitia magumu kama wewe!so isikuletee problem. At this point unafikiri ku-loose hope juu ya huyo mtu lakini inakuwa sio rahisi. Unafikiri kumuacha huyo mtu, kumblo...