INAUMA BUT ITABIDI UZOEE
INAUMA BUT ITABIDI UZOEE
Umemtumia
text lakini hajakujibu, text imekua delivered lakini hajali kukujibu. Unaamua
ku-switch simu na kucheza game, later unarudi bado unaona kimya hajakujibu.
Unaanza
kujiambia kuwa maybe amekuchoka. Inauma sana kupuuzwa na mtu umpendae but
itabidi uzoee.
Je
unajua kuna uwezekano nae anapitia situation kaa hiyo? Sawa anaweza akakwambia
anakupenda au amekumiss, lakini anae mtu ambae anampenda more than wewe.
Unavyohangaika
kumpigia, kumtumia sms na asizijibu nae anaweza kuwa anafanyiwa hivyo na sweetheart
wake.
Unamtex,
unamcall lakini nae simu zake hazipokelewi kama wewe. Nao wanapitia magumu kama
wewe!so isikuletee problem.
At
this point unafikiri ku-loose hope juu ya huyo mtu lakini inakuwa sio rahisi.
Unafikiri kumuacha huyo mtu, kumblock hata kum "unfriend" fb lakini
bado unaona aii! bado unampenda. Na unamatumaini ipo siku atarudi kuwa normal.
Kila
time unachkua phone yako unaomba Mungu ukute text yake lakini ukishika tu simu
unakuta ya safaricom wakikukumbusha kulipa okoa jahazi.
Unajikuta
unaichukia simu yako na unamchukia kila mtu anaye kuongelesha,unakuza hasira
hata kwa vyombo vya nyumba.
Lakini
kwanini ifikie hatua hiyo? Kwa hali kama hiyo inaonesha kabisa wewe hupendwi kabisa.
Kwanini upoteze muda wako kumpenda mtu asiyekupenda?
Usimlazimishe akupende, watu wanaotaka kupendwa ni wengi. Usijipe stress kwa asiyekupenda kuwa na hopes ya kupata new things na wenye maringo waendelee kuringa. TAKATAKAiiiii.
Comments