VIJANA TUACHE MIHADARATI
Youths wengi humu nchini wame-loose mwelekeo kwa kujihusisha na
evil deeds like matumizi ya dawa za kulevya. Mazingara ambayo we grow in
ndiyo
yanafanya ndo ina-promote haya yote.
Mostly Ukitembea katika mitaa yetu utapata
smokers wa sigara na bangi ni wengi sana,walevi pia and most of them ni vijana.
Parents wanafaa kuwa role models to their youths, but sio kukimia.
Kama ni ulevi, wasifanye open bali wawe mstari wa mbele kukashifu
hilo in adition to matumizi ya dawa za kulevya.
Vijana pia hu-follow tamaduni na itikadi za wazungu.
Aidha, youths are supposed to be waangalifu wanapotumia internet.
MESSAGE NI ⬇⬇⬇
Mihadarati waste of time. zitaharibu your memory na zikupotezee heshima bure and everything that goes along with your self esteem. please TUACHE DRUGS.

Comments