MESSAGE YANGU
MESSAGE YANGU
In life mambo huweza ku-change kama bendera anytime hufuata upepo. So usiwahi mdharau au kumdhalilisha anybody kwa sababu ya situation ako. Maana kila mtu ako na strength aliyopangiwa na Mungu,
Lakini remember hakuna ajuaye kesho yake.
Sometime mtu unayemdharau leo ndiye huyohuyo ambaye kesho utasimulia succes yake. Kwako unayesoma ujumbe
huu nakuombea Mungu akakufungulie milango ya baraka na ku-value maisha yako ili pale unapoimarika ushangiliwe na those waliokudharau punde wakapate kukupigia magoti kwa uwezo wa Mungu.
If you believe God anaweza kubadili maisha yako kwanini umdharau mwenzako? please kuwa mtu wa kutamka neno la baraka kwa wengine.

Comments