Posts

EVERYBODY AKAE KWAKE

Image
Most of the time unaposikia hodi, first thing unajua ni yule neighbour omba omba ambaye husumbua kila mara. Time unachungulia kwa tundu la mlango, EXACT!   Niyeye. Hiyo situation isikupe wasiwasi, ni easy ku-deal na watu type hiyo. Day one akikuja kuomba kama kawaida,, “Herode naomba uniazime vijiko viwili vya chumvi” please usimnyime mpe vitatu. Siku ya pili akirudi againkuomba chumvi, fungua mlango  then  mpe kilo ya chumvi akuondokee, don’t allow akuzungumzie mob yasiyokujenga. Hapo ni hakika hatarudi tena kuomba alivyozoea. Another day kwa bahati mbaya uzoefu ule wa kuomba haujamtoka. Kimdandanye arudi kuomba tena. Open the door wazi kabisa halafu um-show nimesikia like punda amefika kwangu kumbe wewe(ukiashiria kuudhika) mpe bundle zima mwambie feel supermarket. Aky shetani ni mbaya, the same same jirani amerudi kwa vishindo Siku nyingine. “Herode please, nisave na chumvi, ile ulinipa iliisha jana.” fungua door msikilize bila kumkatiza, mwambie polit...

JINSI NILIVYOFAULU

READ MORE 1.     Jiwekee lengo moja kubwa ambalo utalifanyia kazi kila siku. 2.       Kila siku kazana kuwa bora zaidi ya jana, shindana na wewe mwenyewe na siyo mtu mwingine. 3.     Kwenye kila kipato unachoingiza, tenga asilimia 10 na weka pembeni kabla hujaanza kutumia. 4.       Asilimia 10 unayoiweka pembeni, iwekeze sehemu ambayo inazalisha zaidi. 5.       Punguza sana au acha kabisa kutumia mitandao ya kijamii kama haikuingizii kipato. 6.     Usianze siku yako kwa kufuatilia habari. 7.       Amka mapema zaidi ya ulivyozoea, angalau saa moja na tumia muda huo kusali/kutahajudi, kujisomea na kufanya mazoezi. 8.       Pangilia siku yako kabla hujaianza, tafakari siku yako kabla hujaimaliza. 9.       Weka muda kwenye kujenga mahusiano yako, hasa ya wale wa karibu. 10.     Weka juhudi zaidi kwe...

DEAR FUTURE WIFE

Image
THANKS TO Kwako Mke wangu Mtarajiwa kabla ya kuja kufunga NDOA NAWE.,,POKEA HAYA MAMBO YA MSINGI. Niliposema ujumbe ukuffikie popote ulipo bila shaka ujumbe ulifika na sasa unatafakari ni namna gani ya kuwa mke bora. Naam Vizur bada ya yale kuna haya hapa... 1. Nitakuangalia machoni mara kwa mara na kukuhakishia mapenzi niliyonayo juu yako. 2. Nitaendelea Kukupenda na kukujali kwa kila hali na kukuhakikishia unalo bega langu la kuinamia. 3. Nitapitiliza migahawa yote mizuri, sitaingia kununua chakula hata kama nina njaa ili tu, nile chakula chako ulichoniandalia nyumbani. 4. Nitaingia kuoga na wewe atleast kila kutakapokuwa na nafasi, jiandae kwa hilo na naomba usiniulize ni nini kitakachokua kikitokea humo bafuni. 5. Nitakufanyia massage kipindi ukiwa mjamzito whether you need a massage or not. 6. Nitajitahidi kuendelea kuwa muaminifu licha ya vikwazo na vishawishi vingi vilivyopo mbele yangu! 7. Nitaku-suprise kwa kukukumbatia wakati ukiwa jikoni unaosha vyombo! 8. Nitaingia jikoni k...