Posts

MY SOFTWARE WEDDING

Image
                                           WATCH VIDEO  I had my fairytale wedding (software wedding) It was picturesque, filled with love, and ran smoothly. That magical day I had ever imagined. But like most things in life, there were aspects I wish I had done differently in terms of the planning and how the actual wedding day was carried out. According to them nothing took place.     Learning from my own marriage experience and in reading about wedding etiquette since the start, I've discovered there were a few things I didn't do that I wish not to do, from people expectations. Most weren't a huge deal, but some things could've made those closest to me feel more loved during such a special time of life.   The things I would've done normally according to the public. Planning a big ceremony to be attended by thousands of people, enable a buffet for the crowd...

PESA INAVYOPOTEA NYUMBANI

Image
  Mara nyingi huchukua muda kabla ya kutambua kwamba vitu havipo kwenye nyumba. Wengi wetu huamini  huenda vimeibiwa ilhali vipo paliposahaulika. Improvement in swahili   Unahitaji kuwa na ulinzi wako wakati: Unaonekana kununua chakula zaidi na mboga kila wiki kuliko kabla.  Wewe  ku-misplace nguo, vito vya thamani kisha unaonekana kuvitafuta zaidi. Kuvitafuta vitu ambavyo umevipoteza na vilikua vya thamana,huchangia zaidi kutovipata Unapodhania kuwa pahali pako unakoweka nguo zako pameguzwa na kupanguliwa Toiletries zako, sabuni, mafuta, marashi nk kukosa. Wageni huripoti pesa au mali zao kupotea kwenye nyumba. Msichana wa nyumba anatumia simu yake ya mkononi daima wakati wa kazi. Kupokea simu na chatting kwa wingi pia ni ishara ya onyo.  For the start huanza na mambo madogo tu kuona ikiwa unatambua au la na kisha anachukua vitu vikubwa na vya gharama kubwa.Inafaa uwe chonjo kila mara.